CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Aug 22, 2020 #1 Mkurugenzi wa habari, uenezi na mahusiano na umma eng. Mohamed Ngulangwa amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Bagamoyo na kukabidhiwa fomu ya uteuzi wa Ubunge Jimbo la Bagamoyo
Mkurugenzi wa habari, uenezi na mahusiano na umma eng. Mohamed Ngulangwa amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Bagamoyo na kukabidhiwa fomu ya uteuzi wa Ubunge Jimbo la Bagamoyo
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Aug 22, 2020 #2 Vizuri
N ngebe JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 1,789 Reaction score 5,117 Aug 22, 2020 #3 kwaiyo CUF nao eti wameajiri afisa habari anatupa habari😁😁😁
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Aug 22, 2020 #4 Cuf ni chama gani?
kantasundwa JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 1,548 Reaction score 2,384 Aug 22, 2020 #5 Cuf, kwisha kwisha kwisha kabisa ,ndembe ndembe mlalo wa mende chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Cuf, kwisha kwisha kwisha kabisa ,ndembe ndembe mlalo wa mende chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 Aug 22, 2020 #6 Hakuna chama hapo ni utopolo tu