Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Wewe Mwalimu andika ueleweke basi?Serikali imesema masaa mawili ya ziada hayana tija tena baada ya utafiti.
Mbona baadhi ya shule bado wanachangisha?
Nawasilisha tafadhari
Huyo Ajifute Kazi Haraka
Hiyo Michango Ni Uchochezi
Anataka Kuichonganisha Serikali Na Wananchi
Hivi Hakuna OCD Ampige Pingu Huyo
Barua itakuwa ivi.. Samahani bandugu nilieleweka vibaya ivo nawaombeni msamaha hakuna mchango BanduguMimi nashauri atoe barua au tangazo la kusitisha michango hii badala ya kukaa kimya.
Huu ndio ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.
Kama aliagiza michango kwa barua basi asitishe kwa barua.
Sio kukaa kimya.
Barua itakuwa ivi..
Samahani bandugu nilieleweka vibaya ivo nawaombeni msamaha hakuna mchango Bandugu