Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support na Wahasibu wake wakamatwa

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support na Wahasibu wake wakamatwa

Mongoiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
524
Reaction score
269
IMG_20200610_201055_173.jpg

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
 
Kaka wanajitekenyaa wachekee hao akati ni ngumu mkuuu
Pili aliyenacho anaongezewa kama anaona hapati atatumia menooo
 
Kwa hiyo ndio maana wazee wastaafu hawalipwi pesa zao sababu hao hawapeleki michango?
Daa inauma sana, makato kwenye slip yapo, unastaafu kwa raha zako ukijua una ka pension kako ka kila mwezi. Muda unafika holaa!! Unaenda kuulizia, jibu "Mzee fuatilia kwa mwajiri wako, hatuna kumbukumbu zako hapa, tafadhali tupishe tushughulikie watu wengine"
 
Back
Top Bottom