Kha!! Mbona na hao NSSF na wenyewe ni wasumbufu sana kwenye malipo? Naruhusiwa kwenda na
Daa inauma sana, makato kwenye slip yapo, unastaafu kwa raha zako ukijua una ka pension kako ka kila mwezi. Muda unafika holaa!! Unaenda kuulizia, jibu "Mzee fuatilia kwa mwajiri wako, hatuna kumbukumbu zako hapa, tafadhali tupishe tushughulikie watu wengine"Kwa hiyo ndio maana wazee wastaafu hawalipwi pesa zao sababu hao hawapeleki michango?
Usumbufu unaanzia hapoKha!! Mbona na hao NSSF na wenyewe ni wasumbufu sana kwenye malipo? Naruhusiwa kwenda na Defender kuwakamata pia?