Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Ni mwezi wa pili sasa tangu mabasi ya Katarama yenye brand ya Scania Irizar i6 kuonekana South Africa yakija Tanzania.
Kwa muda mrefu mpaka sasa bado hayajafika Tanzania licha ya mapichapicha mengi kusambaa mitandaoni. Leo yanasemekana yameonekana border ya Zimbabwe na Zambia.
Kihalisi safari ya kutoka S.A mpaka TZ kwa basi inaweza kuchukua siku 4 tu Dar-Joburg.
Turudi kwenye mada. Hizi Irizar i6 za Katarama tangu waanze kutuonyesha picha zake hakuna picha yoyote ya interior kuonyesha kama zina ubora wa kuwa VVIP ukilinganisha na Golden Dragon za Ally's Star.
Kwa upande wa mfalme wa kanda ya ziwa, Ally's Star ambaye ana mabasi ya Golden Dragon kutoka China mara zote amekuwa akionyesha interior za mabasi yake.
Hii imefanya watu wakubaliane kuwa kibongobongo kulingana na sheria za LATRA mabasi hayo yanakidhi VVIP.
Ally's Star, ukweli ni kwamba Mchina katika interior decoration hana mpinzani
Hapa ndipo mkurugenzi wa Katarama, bwana Laurian anapoumiza kichwa atafanyaje kuwaaminisha abiria na wanazi wa hayo mabasi ambayo kwa nje yanaonekana yana mwonekano fulani kiaina lakini ndani hajayafikia Golden Dragon za Ally's Star upande wa VVIP.
Hizi ni baadhi ya comments za wadau kuhusu irizar i6 za Katarama:
Acha tuone yakifika bongo, vita ni kali sana hii Ally's Star vs Katarama huko kanda ya ziwa.