Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza hivi stendi ya Nyamhongoro mnaionaje?

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza hivi stendi ya Nyamhongoro mnaionaje?

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
7,843
Reaction score
10,321
Kama kuna aliyetuloga nchi hii basi tumtafute tufanye tambiko laana na uchawi utuepuke, nimefika stendi ya mabasi nyamhongolo nadiriki kusema tumelaaniwa yaani mazingira ya nje kuanzia barabarani hovyo kabisa.

Hivi nawauliza mliwaza nini kuacha mazingira yanakuwa ya hovyo kiasi hiki?
 
Na vile vibanda sasa sijui huwa wanafikiri kwa kutumia makalio
 
Back
Top Bottom