PreGE2025 Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi asikiliza na kutatua kero kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro Mwajuma Nasombe leo Machi 15, 2025 amewatembelea wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni ili kusikiliza na kutatua kero zao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hatua hiyo inakuja kufuatia kukamilika kwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa Soko hilo ambalo liliungua mwezi Februari 2024, ambapo umefanyika uhakiki wa wafanyabiashara wenye sifa za kupata vibanda kwenye soko hilo katika awamu hii ya ugawaji.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…