GemMaster II JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 3,599 Reaction score 11,307 Mar 11, 2026 #21 Ualimu ni kazi ya laana. Imagine unawapika vijana wanakuja wanafanikiwa we upo uncheza na vumbi la chaki na suruali zilizopauka. Walimu wanonko sana acha mnyooshwe sina huruma na nyie mbwa.
Ualimu ni kazi ya laana. Imagine unawapika vijana wanakuja wanafanikiwa we upo uncheza na vumbi la chaki na suruali zilizopauka. Walimu wanonko sana acha mnyooshwe sina huruma na nyie mbwa.
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 3,036 Reaction score 8,395 Mar 12, 2026 #22 MAKANGEMBUZI said: Ualimu ni kazi ya laana. Imagine unawapika vijana wanakuja wanafanikiwa we upo uncheza na vumbi la chaki na suruali zilizopauka. Walimu wanonko sana acha mnyooshwe sina huruma na nyie mbwa. Click to expand... Mbona unawakandia walimu namna hiyo mkuu? Walikufanya nini?
MAKANGEMBUZI said: Ualimu ni kazi ya laana. Imagine unawapika vijana wanakuja wanafanikiwa we upo uncheza na vumbi la chaki na suruali zilizopauka. Walimu wanonko sana acha mnyooshwe sina huruma na nyie mbwa. Click to expand... Mbona unawakandia walimu namna hiyo mkuu? Walikufanya nini?
MawardatDellapina JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 30,232 Reaction score 152,252 Apr 15, 2026 #23 Nimewaza shule zilivyojaa hapa mbinga🤣🤣 Hao walimu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣