ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Waziri wa Maji, lazima ujue nafasi ya ukurugenzi ni nafasi nyeti na Ina sifa zake zinazotolewa kiutumishi. Mkurugenzi wa Moshi MUWSA (mamlaka ya maji) Hana sifa Wala weledi wa kushika nafasi Ile, na amekuwa kero hata Kwa wafanyakazi wa ndani ya mamlaka , amekuwa muonevu na mtu namba moja kuvunja taratibu za kiutumishi na kufukuza watu kazi, kisa anajua hakuna wa kumgusa kwakuwa ni mtu wa Aweso.
Nakuasa waziri chunguza Mkurugenzi huyu na usikie mengi kwake yasiyofaa, hasa ya uonevu. Hatuwezi kuwa na viongozi miungu watu
Nakuasa waziri chunguza Mkurugenzi huyu na usikie mengi kwake yasiyofaa, hasa ya uonevu. Hatuwezi kuwa na viongozi miungu watu