LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 272
- 129
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.
Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.
Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.
Mnahesabu upya au mnajumlisha zilizoishapigwa? sababu shida ya kuhesabu upya ni kuwa feki zinakuwa zimeishaingizwa. So nilidhani mnatumia nakala kutoka kwa mawakala zilizojazwa jana. Na hapo Mnyika hana mpinzani hilo liko wazi.
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.
Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.
Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.
Tunafanya majumuisho ya kila kituo hatuhesabu upya Kamanda.
taarifa kutoka jimbo la ubungo zinasema kwamba mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi bw. Kiravo amefika katika shule ya sekondari loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.
mfumo wa kuhesabu kura ulioletwa na tume umekuwa ni wa taratibu na... Ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.
tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.
Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.
Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.
Kwani mwanzo walikuwa wanatumia mfumo gani???
Sisi tunajua tangu mwanzo wanatumia mfumo wa IT sasa Kiravu anaposema ameenda Loyola kuwaambia watumie mfumo wa Excel,mimi sielewi ni Excel ipi????
KIRAVU na NEC yake akubali kuwa anataka kuchezea idadi halisi ya matokeo ya awali KUIBEBA CCM.
Yeye kitaaluma ni mwanasheria kwa hiyo hawezi kutushawishi kuwa yeye anaujua mfumo wa kompyuta kuliko wataalamu waliobobea kwenye IT(ICT Engineers).
naomba muwe makini na wachakachuaji!