mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Kiukweli naandika kwa machungu sana post hii huku ndugu zangu wa karibu kabisa wakiwa wameacha kazi kwa uzembe tu wa viongozi wachache wa halmashauri ya Same kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Barua za watumishi hamtaki kuzisaini. Mkisaini huwa mnakomenti vibaya mno. Na mbaya zaidi hamzirudishi kwa mlengwa kwa kuhofia kuhojiwa kwa komenti zenu zisizo na mashiko.
TSD mnadhulumu madaraja ya watumishi kwa vigezo vya kuwa wamebadilishiwa muundo wa utumishi.
Mama Kairuki Waziri wa TAMISEMI, nikiwa Kama mdau namba moja wa elimu nchini Tanzania, chunguza hili suala kwa umakini kuna jambo utagundua.
Same is not the same.