Mkurugenzi wa TikTok ajiuzulu ilia apate muda wa kusoma vitabu

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,569
Mkurugenzi wa kampuni ya TikTok, Zhang Yiming (miaka 38) amejiuzulu wadhifa wake huo. Zhang mwenye utajiri wa TZS Trilioni 101. Zhang amesema amechukua uamuzi huo ili apate muda mwingi zaidi kujisomea vitabu na kuota ndoto nyingine.

Tiktok.jpg
 
View attachment 1797819
Duu jamaa Hana hata trilioni Moja hela ya kimadafu ila anapambana ajulikane.
I to hown this Trillion or $bn ili ni feel inavyokuwaga kumilika Dola bilioni how do you look like
 
Back
Top Bottom