Hamna namna😂😃Halafu sisi Huku tunalisha bongo zetu kwa "kula tunda kimasikhara" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duu jamaa Hana hata trilioni Moja hela ya kimadafu ila anapambana ajulikane.Mkurugenzi wa kampuni ya TikTok, Zhang Yiming (miaka 38) amejiuzulu wadhifa wake huo. Zhang mwenye utajiri wa TZS Trilioni 101. Zhang amesema amechukua uamuzi huo ili apate muda mwingi zaidi kujisomea vitabu na kuota ndoto nyingine.
View attachment 1797819
Duh utirionea wa shilling ama dollar kuwa muwazi.Anasomaga vitabu gani na mie nisome hivyo hivyo labda nitakua trilionea na mie.
Hata wa shilingi tu unanitoshaDuh utirionea wa shilling ama dollar kuwa muwazi.