Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa TPSF Dkt. Godfrey Simbeye achukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Mbozi

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa TPSF Dkt. Godfrey Simbeye achukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Mbozi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Dkt. Godfrey Simbeye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mbozi katika ofisi za CCM Mbozi na amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM Wilaya Julius Mbwiga.

Simbeye Mbozi.jpg
 
Udokta kauoata lini? Mbozi kujaa viwanda tupu.
 
Huu uchaguzi utafunua mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom