Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
 
Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi

Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
 
mzee wa bwaksi Pekee ndo alisema kuwa hawezi kushangazwa na taarifa hizi kwa kuwa Jemedar Said kuna ambao wanampa habari za ndani kabisa.

Wengine walikuwa wanapayuka tu hapa JF bila mpango.
 
Kikubwa ushindi tu, mengine yote ni mbwembwe tu
Ni kweli imepita hiyo, na makocha wote wa Simba SC na Yanga SC wameweza kukaa benchini..!

Ila lazima tuweke kumbukumbu sawa.
 
Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Rekebisha heading ni approval sio approved
 
tena.
TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli [emoji23], kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Naomba nifahamishwe kidogo,hivi msimu ulopita dhidi ya Wanaijeria nani aliongoza timu?Kama ni yeye inakuwaje kuwe na approval nyingine?
 
Back
Top Bottom