mzee wa bwaksi Pekee ndo alisema kuwa hawezi kushangazwa na taarifa hizi kwa kuwa Jemedar Said kuna ambao wanampa habari za ndani kabisa.Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi
Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Kunyweni maji baridiKwa hiyo tufanyeje sasa!
Muhimu Kocha alikuwepo kwenye benchi la ufundi. Hayo mambo mengine tunawaachia nyinyi na huyo Bin Kazumari wenu.We si ulisema kuwa hii taarifa haiwezi kuwa na kweli hata kidogo, isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance sorry ya Mgunda.
Mkuu..Unatakiwa uchutame sasa, umeshavuliwa nguo yaani..!
Ni Sunday na JK pekee yao ndo wenye akili, ambao wasingeweza kuleta upoyoyo wa kukataa kuwa Nabi alikuwa anasubiri ruhusa Approval ya CAF.Hivi kumbe bado tu kuna mambumbumbu wanaendeleza mjadala wa Nabi na leseni yake
Rekebisha heading ni approval sio approvedAkihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Naomba nifahamishwe kidogo,hivi msimu ulopita dhidi ya Wanaijeria nani aliongoza timu?Kama ni yeye inakuwaje kuwe na approval nyingine?TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli [emoji23], kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
CAF ndiyo wanayo majibu yote hapa tutapotezeana muda bure.tena.Naomba nifahamishwe kidogo,hivi msimu ulopita dhidi ya Wanaijeria nani aliongoza timu?Kama ni yeye inakuwaje kuwe na approval nyingine?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mzee wa bwaksi Pekee ndo alisema kuwa hawezi kushangazwa na taarifa hizi kwa kuwa Jemedar Said kuna ambao wanampa habari za ndani kabisa.
Wengine walikuwa wanapayuka tu hapa JF bila mpango.