Mkurugenzi WB "Sijui Kama huko Kwenu Mnaliona Hili,Tangu Rais Samia Kuingia Madarakani,Hadhi ya 🇹🇿 Imeimarika,Tunaitambua kama Nchi yenye Ufanisi.

Mkurugenzi WB "Sijui Kama huko Kwenu Mnaliona Hili,Tangu Rais Samia Kuingia Madarakani,Hadhi ya 🇹🇿 Imeimarika,Tunaitambua kama Nchi yenye Ufanisi.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Washington

Mkurugenzi wa Benki ya Dunia WB Kanda ya Afrika Dr.Zarau Kibwe amesema wao Benki ya Dunia Wanaitambua Tanzania Kama Nchi inayoendeshwa Kwa Ufanisi zaidi barani Afrika.

Bwana Kibwe amesema tangu kuingia Madarakani Kwa Rais Samia hadhi ya Tanzania Kimataifa imeongezeka na ndio maana wao World Bank Wameiongezea Tanzania Fursa ya kutumia mikopo ya riba nafuu kutoka Dola Bilioni 5 Hadi Dola Bilioni 12 ambapo mda wowote Tanzania ikihitaji Itaweza kupata Fedha hizo ,vigezo na masharti kuzingatiwa.👇👇

View: https://x.com/CloudsMediaLive/status/1900191369848635658?t=27_C3F9oWS9IvtqX-J6pYg&s=19

My Take
Samia anatikisa Anga la Kimataifa.Ni Moja ya Viongozi wa Afrika wanaoheshimika sana Kwa uhodari wake wa kusimamia na kuleta Mageuzi ya Uchumi WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.

Dr.Mwigulu ni Moja ya Mawaziri wa Fedha wenye Heshima na kuaminika .

Hongera zao,ila kama kawaida nabii Huwa hakubaliki nyumbani.

Kazi na Utu tunasonga mbele na Samia ,mama mi 5 tena.

View: https://www.instagram.com/p/DHJQCrBqeOG/?igsh=MTRnYWU2eXNoZHBmcg==
 
Washington

Mkurugenzi wa Benki ya Dunia WB Kanda ya Afrika Dr.Zarau Kibwe amesema wao Benki ya Dunia Wanaitambua Tanzania Kama Nchi inayoendeshwa Kwa Ufanisi zaidi barani Afrika.

Bwana Kibwe amesema tangu kuingia Madarakani Kwa Rais Samia hadhi ya Tanzania Kimataifa imeongezeka na ndio maana wao World Bank Wameiongezea Tanzania Fursa ya kutumia mikopo ya riba nafuu kutoka Dola Bilioni 5 Hadi Dola Bilioni 12 ambapo mda wowote Tanzania ikihitaji Itaweza kupata Fedha hizo ,vigezo na masharti kuzingatiwa.👇👇

View: https://x.com/CloudsMediaLive/status/1900191369848635658?t=27_C3F9oWS9IvtqX-J6pYg&s=19

My Take
Samia anatikisa Anga la Kimataifa.Ni Moja ya Viongozi wa Afrika wanaoheshimika sana.

Dr.Mwigulu ni Moja ya Mawaziri wa Fedha wenye Heshima na kuaminika .

Hongera zao,ila kama kawaida nabii Huwa hakubaliki nyumbani.

Kazi na Utu tunasonga mbele na Samia ,mama mi 5 tena.

View: https://www.instagram.com/p/DHJQCrBqeOG/?igsh=MTRnYWU2eXNoZHBmcg==

View: https://www.instagram.com/p/DHJL_FHIY2H/?igsh=MTNnc3hxaXVkbDE5Ng==
 
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia WB Kanda ya Afrika Dr.Zarau Kibwe

1741952798892.jpeg

Mr. Zarau Wendeline Kibwe, a seasoned Tanzanian economist.

Prior to his tenure on the Board, Mr. Kibwe began his career with the World Bank Group in Tanzania, where he served as an Economist in the Macroeconomics, Trade and Investment (MTI) Global Practice at the Country Office. In this role, he contributed significantly to economic analyses and actively participated in the policy dialogues with Tanzanian Authorities.

Earlier in his career, Mr. Kibwe held various positions in the Central Government of Tanzania and Academia. As a Senior Policy Analyst in the President’s Office-Planning Commission, he contributed to shaping national development strategies. His tenure as an Assistant Customs Officer at the Tanzania Revenue Authority allowed him to contribute to domestic resource mobilization and trade facilitation across borders. In Academia, he shared his expertise by lecturing economics courses at the University of Dodoma (UDOM) and the Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA).

Mr. Kibwe holds a Ph.D. and an MA in Development Economics, as well as a Master of Public Policy from the National Graduate Institute for Policy Studies (GRIPS) in Tokyo, Japan. He earned his BSc in Economics from Mzumbe University in Morogoro, Tanzania.
 
Wako watakaoumia kweli kweli ndani ya mioyo yao!, nijazie kidogo nivyomsikiliza, anasema, "" this is miracle they way this country advance at the highest rate in economic development, and perfectly uses of fund "" " alimsifu sana Dr mwigulu.
 
Kuna watu wakisikia jina Samia naniliu zinagonga kwenye vyupi 🤣🤣

Na Huwa nasema siku zote usipotoboa miaka hii ya Samia mama wa Mageuzi baada ya hapo wanakuja wale waharibifu.

Samia anajua kusaka hela na anajua wapi azieleeze. Ni viongozi wachache sna wenye akili wanaweza kuelekeza hela kwenye Uchumi wa Kilimo ambako ndiko Kuna maelfu ya watu.
 
Back
Top Bottom