mkurugezi wa HESLB kunani chuo cha SAUT mwanza.

mkurugezi wa HESLB kunani chuo cha SAUT mwanza.

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
sisi kama wazazi tunashindwa kukuelewa mkurugenzi wa bodi ya mkopo elimu ya juu tz, wanetu wanalalamika hawajapata mkopo, tunakuja bodi kujua labda wanatatizo tunafika mnatumbia hawana tatizo pesa zao zipo kwenye process, ajabu tangu november mpaka leo feb hawa watoto hamjawapa pesa zao za kujikimu, mpo kuwapelekea wenzao, tatizo nini pesa za hawa watoto 200 na kitu mmekula ama vp, malipo gani yanayoandaliwa miezi mi 5, na mwanafunzi alikuwa kwenye system na nyie mnakili, kweli uyu anapaswa kulipwa, mnataka watoto zetu wandamane wapigwe na risasi wafe ndiyo mstuke, acheni uhuni, walipeni pesa zao vijana,
 
HESLP ni kichaka cha .......................?????!!!!!***** (malizia)

Elimu au Arusi.jpg
 

Attachments

  • Elimu mtego.jpg
    Elimu mtego.jpg
    39.1 KB · Views: 57
Mimi mdogo wangu ameishakata tamaa, hata uelewa wake darasani ni dhalili. HESLB wanawasurubu na kuwapa mateso makali hawa wadogo zetu.
 
Kweli huu ni upendeleo au ni nini ud wanalazimishwa wakasaign na wapo likizo saut mpaka waandamane ndo wapewe tahabu kweli kweli
 
Back
Top Bottom