sisi kama wazazi tunashindwa kukuelewa mkurugenzi wa bodi ya mkopo elimu ya juu tz, wanetu wanalalamika hawajapata mkopo, tunakuja bodi kujua labda wanatatizo tunafika mnatumbia hawana tatizo pesa zao zipo kwenye process, ajabu tangu november mpaka leo feb hawa watoto hamjawapa pesa zao za kujikimu, mpo kuwapelekea wenzao, tatizo nini pesa za hawa watoto 200 na kitu mmekula ama vp, malipo gani yanayoandaliwa miezi mi 5, na mwanafunzi alikuwa kwenye system na nyie mnakili, kweli uyu anapaswa kulipwa, mnataka watoto zetu wandamane wapigwe na risasi wafe ndiyo mstuke, acheni uhuni, walipeni pesa zao vijana,