Mkusanyiko wa maziwa inaeza ikaleta maumivu?

Mkusanyiko wa maziwa inaeza ikaleta maumivu?

Mumlii

Senior Member
Joined
Mar 14, 2021
Posts
169
Reaction score
232
Habari wana jf,

Tokea jana titi la kushoto kuna kama kakitu kagumu nikibonyeza panauma hatari, nlijua labda maziwa yamekua mengi nikanyonyesha mtoto sku nzima naona tu maumivu sana. Hadi sasa hivi je ni nini hichi maana dah maumivu nanyonyesha chuchu haiumi.
 
Kwanini usiwahi hospital?
Unaelewa kwanini nakushauri hivi.
 
Back
Top Bottom