Kuna mkutano mkubwa unaojumuisha watu kutoka pembe zote za dunia wanaoshughulika na utafiti na pia mapambano dhidi ya malaria mjini Nairobi, Kenya. Umefunguliwa juzi Jpili jioni na Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka. Kwa habari zaidi tembelea tovuti hii http://www.mimalaria.org/pamc/.