Mkutano maalum wa kidunia wa masuala ya Usalama waanza leo mjini Munich. Je,Tanzania imepeleka mwakilishi?

Balozi Dr Possi anatosha kufanya kila kitu, kama hatakuwa na majukumu ya kitaifa hapo ubalozini anaweza kwenda kuwasikiliza nini hawa mabepari wanazungumza.

Ila usisahau kwamba ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani ni moja ya balozi zetu muhimu sana.

Ubalozi huu pia unatuwakilisha katika nchi za Switzerland, Austria, Romania, Czech, Poland, Slovakia, Bulgaria nchi takatifu au Holy See au See of Rome au Vatican.

Hivyo waweza kuona jinsi Dr Abdalah Saleh Possi kwamba ni balozi muhimu sana.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] najua kuwa hujaruhusu mawazo yako kuhoji bali kusifia juhudi moja kwa moja.
Hatuwezi kuendesha gari huku tulifikiria tu uzuri wasafiri bila kujali ni mafuta kiasi gani yanakwenda pamoja sana muda. Labda pia kuna mafuta yanavuja njia au wahuni wanaiba.
Dalai Lama anasema "If you program your mind to think beyond relatity then all you have to do is to think think and think Again and again".
Asante kwa knowledge uliyonipa Malcom really Appreciate that [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi huyu ndo connection yetu na mabepari.
According to Malcom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks kwa changamoto nimepata experience kidogo maana kuna wakat wanaweza kukushambulia ukashindwa kujibu kabsa thanks a lot Malcom Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu kwa mujibu wa wanadiplomasia walotukuka kama mzee Wolfgang Ischinger, dunia kwa sasa wanasema ipo kwenye hatua ya mgawanyiko yaani wanasema kwamba "global liberal order is fragmenting".

Hiyo ni kwasababu wanaona Donald Trump anazidi kuharibu kwa kutumia tu tweets na mtafaruku baina ya mabepari hao Marekani, Russia na China unapamba moto.

Halafu pia kuna mgogoro wa kiaina kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza kuhusu Brexit.

Vipi mtazamo wako?
 
Mkuu hili la Brexit nilimjibu Wick kwenye ule uzi wangu wa HardTalk. Nimeelezea chanzo kabisa kwamba mara ya kwanza Uingereza wanatuma maombi kujiunga, Ufaransa walikataa na kusema kwamba Uingereza watakuja kuwasumbua huko mbeleni na hata Waingereza wenyewe hawakutaka kujiunga kabisa. Ukipata mda pitia
 
Ngoja niupitie na Mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...


Siku inasomwa taarifa ya makinikia nlijisikia faraja,nikajisemea "dah huyu mtu anaonekana atafanya mengi mazuri"
Ila wazo lingine likaniambia usimuamini sana maana hachelewi kutoa boko

.....kabla ya giza taarifa ya Lissu naona kapigwa risasi,huku tunaambiwa mnajua wasaliti kwenye vita ya uchumi wanafanywaje

.....toka lile wazo mpk leo tunavyochafuka



.....heshima kaipoteza sana,kumsafisha inabidi mikakati na sio kwa mtindo anaoutaka
Awe mpole watu wamsaidie


Hamna budi kuchutama wazee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani anaongea kwenye hafla kumbe ndo anatoa order kwa watu.
Hiyo kwa wale wenzangu wa literature tunasema Kuna Connotation na denotation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani anaongea kwenye hafla kumbe ndo anatoa order kwa watu.
Hiyo kwa wale wenzangu wa literature tunasema Kuna Connotation na denotation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ndivyo ilikua hivyo

Kuna muda nikiwa natazama ile hotuba subufa alimnong'oneza jambo akaitikia kwa kichwa

Kila nikikumbuka lile jambo inaniaminisha kama alimnong'oneza "JOB DONE"

Ningeweza kuunganisha dots kama ningepata taarifa muda wa shambulio na muda alionong'onezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale jamaa wanatuona the rest of Tanzanians are fools vile wakati kuna watu wanajua kila kinachoendelea ndani yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mzee anahiribu sana kisa kiburi na ujuaji kwa sehemu ambazo hatakiwi kuwa mjuaji. Yule mzee angekua ni mtu muungwaa wa kusikiliza basi nchi hii ingefika mbali sana.
Akiwa mpole mbona watu wanasahau



..... anabebwa kwenye mbeleko la chuma kumbe ameingia na gas ya kukatia,ukimbembeleza akitulia kidogo akikurupuka anakutwanga na mkuki
.....habebeki bhana

Kimsingi tabia zake ndo za kijuha
Inatugharimu mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…