Ikijikwepesha na ikadhibitika haitumiki imani kwa watu itakua kubwaInteligensia yetu inakuwa imara siku hadi siku kwa kila Nyanja.
Si ile unaoifikiria.
Hii huitaji uchambuzi na ufatiliaji makini ndo tunaona.
Ila kumbuka imeshindwa kufanya The intended functions for the benefits of the nations. Sasa ni for the benefits of Yohana
Sent using Infinix hot 4
Ikijikwepesha na ikadhibitika haitumiki imani kwa watu itakua kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si zipo different branches na zinafanya kazi.
Zipo za ndani, nje na kwingine ila si zote zinafanya kazi moja tu.
Isitoshe huyo Yohana unaemsema nae si ameikuta hiyo jamii?
Ni hivyohivyo hata CHADEMA ikishinda uchaguzi itakutana na system hiyohiyo.
G Guards are not suppose to be our CIAsMy wish niende deep kuona how intel na politics zinafanya kazi
Ila hii yetu naona kuna sehemu inavurunda
Na kama inavyosemekana G guards ndo napata mawazo hadi nazeeka
Sent using Jamii Forums mobile app
NimekuelewaNi vigumu sana ukijenga Imani fulani kwamba kuna watu wasojulikana halafu uifute Imani hiyo katika kipindi kifupi.
Ila usisahau wapo vijana airports, bandarini, sehemu zingine nyeti na hata huko nje kwenye missions zetu.
Hivyo tusiamini tu kuhusu wasokujulikana ilhali tunao vijana katika sehemu zingine wakitekeleza majukumu yao ya kulinda taifa kama kawaida masaa 24 .
My wish niende deep kuona how intel na politics zinafanya kazi
Ila hii yetu naona kuna sehemu inavurunda
Na kama inavyosemekana G guards ndo napata mawazo hadi nazeeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitokea mtu anabadilisha hiiG Guards are not suppose to be our CIAs
Sent using Infinix hot 4
Why
kuna msemo wasema - "The way political views relate to intelligence may depend on social context"
Iko complex sana yaani ina wigo mpana sana.
They are related [emoji3] [emoji3] [emoji3] mpaka kesho
Hii ndo tunasema wamemfichia whiteTuchukulie suala la Tundu Lissu.
Katika "intelligence world" anachofanya Tundu Lissu chaweza kuitwa ni "mind games" hivyo inahitaji busara na hekima kujibu yale anayosema.
Hapo ndipo wale mazee hukaa chini na kudadavua namna ya kujibu mambo hayo kwa ufasaha.
Na nafikiri aliepatia kuanza kujibu kwa njia sahihi ni Spika wa bunge, na umeona kilichotokea baada ya hapo yeye amelenga kwenye kusimamisha malipo ya mshahara wake.
Hiyo ni kwasababu inaeleweka kwamba ukifanya "direct hit in the pocket" unapata "direct effect" na "effect" hiyo imekuwa ni kuanza kuomba michango.
Nafikiri nilileta uzi humu ukishauri kwamba serikali na CCM wasikurupuke kumjibu Tundu Lissu kwani wanafanya makosa.
Nafikiri pia umeshuhudia yalotokea.
Ndo hiyohiyo.
🙂
Ila hamna njia sahihi zaidi za kiusalama kupambana na huyu?
Tofauti na kum attack
Sababu intel wanatakiwa kua na jicho la 6
Na wana kazi ya kumlinda mzee baba
Wana vitengo vya politics pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi ya mkwere aliwaita mjengoniNi kweli kabisa haihitaji nguvu sana.
Enzi ya mkwere aliwaita mjengoni
Nlisubiri kwa hamu povu liwatoke
Wakapiga chai bagia wakasepa,mambo kama yale yangewezekana watu wasingesema mingi
Sent using Jamii Forums mobile app