Mkutano maalum wa kidunia wa masuala ya Usalama waanza leo mjini Munich. Je,Tanzania imepeleka mwakilishi?

Navomuangalia Lissu akiongea kuipinga Serikali na jinsi kaka yake Alute alivyoongea na waandishi wakati yeye yuko Kenya kwa matibabu, Lissu anaonekana kama ni mtu wa kitengo.
 
Navomuangalia Lissu akiongea kuipinga Serikali na jinsi kaka yake Alute alivyoongea na waandishi wakati yeye yuko Kenya kwa matibabu, Lissu anaonekana kama ni mtu wa kitengo.
Hahahaha Chamoto habari yako bwana.
 
Hahahahahha mkuu dah! wenye akili wamekuelewa.... We kweli great thinker
 
Hahahahaaa, nakumbuka. hatuwezi kukaa meza moja na wauaji, matapeli na patronizing SOBs... Ila hii sarcasm inaweza kumfool yeyote, ilibaki kidogo mkuu Damaso angeanza kukuporomoshea matusi..
 
Hahahahaaa, nakumbuka. hatuwezi kukaa meza moja na wauaji, matapeli na patronizing SOBs... Ila hii sarcasm inaweza kumfool yeyote, ilibaki kidogo mkuu Damaso angeanza kukuporomoshea matusi..
Ni challenge tu mkuu

Sent using Infinix hot 4
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,Nimecheka sana hii comment yako mkuu.
 
Hivi mkuu hujagundua kwamba Malcom Lumumba anakuzingua,wala hayupo seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hawa mabeberu ndiyo wanaturudisha nyuma na kutusababishia ufisadi hapa nchini. Watu hawataki tujenge Stiegler's Gorge ili tuzalishe umeme, tukae nao wa nini sasa ?
πŸ˜€πŸ˜€,Si ndo hapo sasa,Hata mamikopo yao tutawalipa tuachane nao..
 
πŸ˜€πŸ˜€,Si ndo hapo sasa,Hata mamikopo yao tutawalipa tuachane nao..
Hata misaada yao ya kinyonyaji tuachane nayo kabisa ili tujitegemee, Tanzania ni nchi tajiri sana. Tukiamua tunaweza tusiagize kitu chochote kile kutoka nje
 
Hata misaada yao ya kinyonyaji tuachane nayo kabisa ili tujitegemee, Tanzania ni nchi tajiri sana. Tukiamua tunaweza tusiagize kitu chochote kile kutoka nje
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,Yaani tukiamua tunakuwa Donor country,Na sisi tena tunaanza kununua treasury bond/Bills za Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…