mkutano mkubwa kesho ijumaa20/12/2013 tanganyka parkers

mkutano mkubwa kesho ijumaa20/12/2013 tanganyka parkers

Uungwana Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,323
Reaction score
508
kesho viwanja vya tanganyika parkers kunatarajia kafanyika mkutano mkubwa wa chama cha wananchi cuf mnaombwa kuhudhuria wananchi wote bila kukosa.HAKI SAWA KWA WOTE
ngangari ngangari palepale.........
 
Unahusiana na nini (mada)

waswahili wanasema kubali wito kataa ulichoitiwa,mambo mbalimbali kuzungumzwa hali ya siasa kwa sasa tanzania,katiba mpya chaguzi za ndani zinazoendelea na mengineyo viongozi wa kitaifa pia watakuwepo
 
Back
Top Bottom