kesho viwanja vya tanganyika parkers kunatarajia kafanyika mkutano mkubwa wa chama cha wananchi cuf mnaombwa kuhudhuria wananchi wote bila kukosa.HAKI SAWA KWA WOTE
ngangari ngangari palepale.........
waswahili wanasema kubali wito kataa ulichoitiwa,mambo mbalimbali kuzungumzwa hali ya siasa kwa sasa tanzania,katiba mpya chaguzi za ndani zinazoendelea na mengineyo viongozi wa kitaifa pia watakuwepo