Mkutano Mkuu CCM Akili za kuambiwa changanya na za kwako Jakaya Kikwete akanawa mikono nakuondoka

Mkutano Mkuu CCM Akili za kuambiwa changanya na za kwako Jakaya Kikwete akanawa mikono nakuondoka

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka kiapo chake na hataki shari Mzee watu anataka kula bata nakufurahia mstaafu wake.

Kwa wale mnamkubuka JK akiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano mnamkubuka kama mzee wa akili ya kuambiwa changanya na zako. Kiufupi kama watanzania na chama cha CCM wangesikiliza mashauri yake mengi na reforms alitamani kuzifanya na wakati mwingine tuka mnamga mtakubaliana na mimi Mwamba hataki kuyarudia matapishi.

Maana alipo sema tumtoe baraba ama tumsulubu Yesu mlipiga na tarumbeta mkisema asulubiwe na baraba aachiwe... mkaenda mbali na kusema dam yake iwe juu yetu na watoto wetu. Leo mnataka mtupia lawama kwanini alitoa ushauri wa jinsi ya kumpa 5 tena mama...

Kiukweli anatushangaa na kutung'ong'a maana anatukumbusha kauli yake ya miaka mingi akili zakuambiwa changanya na zakwako. Anaenda mbali nakuwauliza je mlitaka ajibuje mja kaonyesha nia ya 5 tena akiwa na cheo cha amiri jeshi mkuu na pili mwenyekiti wa chama katika hali kama hiyo anauliza mlitaka ajibuje kama sio kutumia falsafa ya akili za kuambiwa changanya na za kwako...

Yaani kama mwenyekiti angechanganya na za kwake angekataa ushauri wake na kufuwata katiba ila mara moja ushauri wake ulitolewa amri na wakaja na majina 2 wapewe 5 tena hehehehehe..

Kosa la Mkwere lipo wapi? Na kama mnaona amekosea je kwanini msijitoe muhanga kutetea katiba je msaliti nani JK au wajumbe? Heheheh

Yaani aibu sana ila ukiangalia Mwamba yupo sawa hana makosa tena ukirudi kwenye falsafa za baba wa Taifa anasema mtu mwenye akili akikwambia ushauri wakijinga na wewe ukaufuwata anakudharau silince plz..
 
Kifupi ni kwamba Mzee alipatwa na kigugumizi siku ile yaani Hadi akakumbushia yeye aliteuliwa mwezi wa tano 2005,ni kama alitaka ku divert lakini chawa wakachachamaa na mabango akaona "mjinga akitaka kuonyesha ujinga wake we mfanye mjinga zaidi"akaona ngoja niwape wanachokitaka ili wajikoni nao wachakate yao!!

Britannica anaandika Bado Kuna vikao vinafanyika Ili kumkwamisha mama Hadi july kitaeleweka!!

Sasa hatujui wanaofanya vikao Wana nguvu kuliko amiri jeshi mkuu!!?

MITANO TENA KWA MAMA!
 
Nampongeza sana JK kwa wazo alitoa kiufupi naunga mkono hoja yaani mitano tena Mam Oyeeee
 
JK ni role mode wangu maana mara zote anatuacha na tafarani alafu baadae tuna muelewa aisee
 
Back
Top Bottom