Mkutano mkuu Jogoo House. Tukaboreshe taarifa zetu

Mkutano mkuu Jogoo House. Tukaboreshe taarifa zetu

Mromboo

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
2,966
Reaction score
6,593
96245025_2969524126474263_8657344846740062208_n.jpg

Mshaboresha taarifa zenu za mpiga kura?
 
Hivi ndivyo vyama vya kizalendo sio kile chama fulani hupinga kila Kitu
 
Sawa hongera zao kwa kumpata mgombea,ukiumiza kichwa na siasa za Tanzania unaweza kufa mapema kwa kinyamazonge.
Nafurahi kuona Mkutano mkuu wa TLP unaitishwa kumteua mwenyekiti wa CCM Kuwa mgombea wao wa urais. Naomba katibu mkuu wa CCM atuambie kama ashapokea barua ya Mwenyekiti wao kunjiuzuli nafasi yake na kuhamia TLP. Otherwise ni yaleyale ya Mwambe.
 
Back
Top Bottom