Mkutano Mkuu TFF Disemba 19, 2015

Mkutano Mkuu TFF Disemba 19, 2015

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,229
Reaction score
610
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa Tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.

Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.
 
Back
Top Bottom