Mapengo 17 R I P Joined Mar 28, 2014 Posts 1,229 Reaction score 610 Sep 8, 2015 #1 Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa Tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015. Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa Tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015. Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Sep 9, 2015 #2 Watafanyia mkoa gani?