HApana , twende mpaka 2030 kwanzaBila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kulekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubili kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Hivi unajua mabadiliko ambayo yanafanyiwa kazi kesho?Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Wanamuongezea mpaka 2040, reform ya Katiba ya CCM sawa ila reform ya Katiba ya NCHI subirini kwanza, kumamakozenu CCMHApana , twende mpaka 2030 kwanza
No sio kweliWanamuongezea mpaka 2040, reform ya Katiba ya CCM sawa ila reform ya Katiba ya NCHI subirini kwanza, kumamakozenu CCM
Kuongeza vifungu kwenye Katiba ya CCM ambavyo havipo na vinalalamikiwa havipo, usidhani hatujafuatilia, kufanya reform Katiba ya CCM sawa ila kufanya reform Katiba ya NCHI emu subiriini kwanza, kumanyokozenu CCMHivi unajua mabadiliko ambayo yanafanyiwa kazi kesho?
NtakutukanaNo sio kweli
Kikwete na Mchengerwa watakubali?Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Samia anajaribu ku buy time tu ...narudia tena kusema samia hafai kuwa rais hata wa mamungo fcBila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Kifungu kipya kinasema hivi, (Mgombea Urais anayetokana na ccm hatolazimika kutafuta wadhamini mikoani, atadhaminiwa na Wajumbe wa sekretarieti ya chama)Kuongeza vifungu kwenye Katiba ya CCM ambavyo havipo na vinalalamikiwa havipo, usidhani hatujafuatilia, kufanya reform Katiba ya CCM sawa ila kufanya reform Katiba ya NCHI emu subiriini kwanza, kumanyokozenu CCM
mnatukosea sana eti miaka 2 na huyu mtu?Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.