GE2025 Mkutano mkuu wa CCM kesho kuwashangaza wengi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama Reform ya Katiba Ya Ccm inawezekana tena iliyopangwa ndani ya Siku mbili tatu ikizingatiwa CCM ina Wanachama na wananchi wengi, hivyo haishindikani hata kidogo reform ktk sheria za uchaguzi, Katiba ya Nchi na Tume ya Uchaguzi.

Hii ni kumanisha kwamba kwa mazingira ya Sasa Wadau wakishirikiana na Dr Samia Sulugu Hassan Rais wa Nchi ameona kuna haja ya kufanya maboresho kweye katiba yao itakayotoa Mwanya, fursa za kufanya uchaguzi wenye tija.

Hivyo ndio kusema wanaunga Mkono kwamba Ili uchaguzi ufanyike vyema lazima maboresho. Hence No reform no Election concluded.
 
Upendo huu wa wewe kuihurumia ccm umetoka wapi?
Tena upendo wa ghafula!
 
Aliyeng'atulisha watoto,kajing'atua mwenyewe kwa kupenda au kwa kuto.
Niliyaona haya 2022 nilipata hisia mseto nikawatangazia majirani.
Vikao vitasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…