Pre GE2025 Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, uliofanyika Dodoma, ulitoa wapi agenda ya kumpitsha Samia kuwa mgombea Urais kupitia CCM 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2.6m kwa kila mjumbe? Hao wajumbe wapo wangapi? Mbona kama ccm wanafuja sana fedha za watanzania.
Pikipiki SSH 2025 zipo ngapi?
Shangaa shilingi kizama baharini siyo Meli kuelea

Tuwe siriasi na Nchi
Tuheshimu Sheria na kanuni tulizojiwekea!!
 
Hii inamaanisha wapo next level baada ya kupora uchaguzi mzima wanaelekea kupora na haki ya kugombea kabisa, wameanzia ndani ya chama chao chakavu then itakuja kwenye utawala wa nchi.

Walianza kwa kuiba kura, wakapaa kupita bila kupingwa, baadaye kupora mitaa, vitongoji na majimbo mojamoja, baadaye wakaanza kununua madiwani, wabunge na wachaguliwa wengine kama bidhaa mwisho wakafikia kupora uchaguzi mzima, sasa wanaenda next level ya kuzuia wengine hata kuomba uongozi kwa kujaza fomu wakati wanaelekea kwenye ufalme na umalkia kamili

Nyerere alisema ukishakula nyama ya mtu hutaacha na utaendelea kuwa mlafi zaidi!
 
Wenyewe wameambiwa wafanye kama walivyoelekezwa waandamane na kujipanga barabarani kupongeza maazimio ya giza kama hutaki utashughulikiwa sasa kuepusha shari wapo barabarani kuunga mkono azimio hata kama hawakubaliani nalo.
 
Mungu wa mbinguni na amlaani na ikimpendeza afanye jambo lake kwa huyu mtu anayetambulika kama JK. Akiendelea kuishi taifa litaangamia. Tumefika hapa pia kwasababu yake. Amgesimamia rasimu ya Warioba taifa lingeshapata Katiba Bora kwa ustawi na lingesonga mbele. Rasilimali za nchi zinauzwa. Wajawazito wanaambiwa waende kwa waume zao wakazalishwe kwa kukatwa na visu na mikasi mtoto atoke. Mungu asimame mwenyewe kuhusu Hawa watawala. Hizi ni kauli za dharau kubwa sana na kuvimbiwa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…