Mkutano mkuu wa Chadema ufanyike Ukumbi wa Polisi Kilwa road Kwa sababu za kiusalama. Pale Mlimani City kuna vitega Uchumi vurugu ni hatari!

Be Mwajoni mbatisaji yenanani yakulonje kuvaa kwina litata? Nani amekwambia kuwa kutakuwa na vulugu?
 
Ikiwezekana msajili wa vyama vya siasa asitishe mkutano huo Hadi hapo utakapo tangazwa Tena

Kuna viashiria vya vurugu na kuhsribu mali
 
Sawa mjomba angu Freeman Mbowe, tunalifanyia kazi.
 
Acha wauane tujue tabia zao kwamba hawafai kuongoza nchi.

Kuanzia leo kambi yangu itapigwa hapohapo Mlimani City
 
Who are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…