Naku unga mkono mkuuuMO ni mfanyabiashara, anaweza kutufanyia kama alivyoifanya African Lyon vile vile! ingependeza kama mchakato ungekuwa wazi tukapata several bidders tuka chagua the best evaluated bidder, labda tungepata matumaini,
Pia akiona mambo magumu anaweza akauza hisa zake kwa mwengine akapiga faida....Tuombe Mungu liende salama lisije kutokea la ArsenalUkweli ni kwamba Simba haipati chochote kwenye haya mauziano. Mo atatoa bilioni 20 ambazo zitaingizwa kwenye akaunti ya Simba kisha atakabidhiwa timu. Baada ya hapo yeye ndiye atakuwa na maamuzi ya mwisho kuhusu kila kitu ikiwa ni pamoja na matumizi ya hizo fedha. Atakuwa na hiari ya kubadili jina la timu au kuiuza na hakuna atakekuwa na mamlaka ya kuhoji. 'RIP' Simba Sc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, naunga mkono hoja kwamba timu iendeshwe kisasa kibiashara, nisichokielewa ni kwamba, imekuwaje MO anapatiwa on silver plate, nilitegemea ifanywe tathmin (valuation) ijulikane Simba ina thamani gani, utengenezwe mchakato wa wazi wa kuuza hisa, tuwakaribishe wawekezaji ,Aisee asidanganye mtu kuwa mfanyabiashara sio tatizo Wamiliki wa vilabu vyikubwa Duniani wote ni Wafanya biashara tena wakubwa sikatai MO kaona kuna tija katika hilo kwani kupitia ilo atatangaza vzr biashara yake, alafu ikumbukwe mwaka 2003 simba inaingia hatua ya makundi MO ndiye alisimamia show zote ikiwa ni pamoja na kuipeleka timu Oman kufuliwa na Talib Hilali tukafanikiwa kuwa galagaza Zamaleki ya Misri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumwona mhindi akiendesha biashara yake Kwa hasara..... Simba ndo baibai... Nilikuwa nashangaa sana huu usajili hela inatoka wp? Ndo basi tena....Wanachama hamna sauti tena ndani ya club
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini Simba?Si ana pesa akaanzishe timu yake?
Kuna siku yatatokea maafa pale uwanjani,kwa sababu MO hawezi kukataa B5 ili simba ifungwe na yanga bao 6,itakuaje na time tumempa bure?
Serikali iingilie kati suala hili no bora awe Rais wa timu atumue nembo tu
Sauti zinasaidia nini? Wewe ndiyo wale wale tu, ujuzi wako ni kushangilia Timu na si uongozi wa Timu hivyo jitambue nafasi yako. Arsenal inaendeshwa vp? ?Sijawahi kumwona mhindi akiendesha biashara yake Kwa hasara..... Simba ndo baibai... Nilikuwa nashangaa sana huu usajili hela inatoka wp? Ndo basi tena....Wanachama hamna sauti tena ndani ya club
Sent using Jamii Forums mobile app
Amka wewe povu la nini sasa? Hiyo miaka mingi ya ushabiki wako kuna faida gani mmeleta we na wenzako? Tunataka mabadiliko na washabiki wa aina yako hatutaki kuwaona yaani hamtakiwi hata na mfumo wenyewe. Nenda singida unt huko.Nimekua mshabiki wa simba kwa miaka mingi lakini kuanzia sasa..sitakaa niishabikie tena..pumbavu sana hawa viongozi wa hii club....imejaa ujinga na ubabaishaji..kila siku mambo mapya ya kipuuzi yanaibuka..no focus at all nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio wewe basi ndugu yako mirija imekatwa kwa namna alivyokuwa akijinufaisha mwenyeweSijawahi kumwona mhindi akiendesha biashara yake Kwa hasara..... Simba ndo baibai... Nilikuwa nashangaa sana huu usajili hela inatoka wp? Ndo basi tena....Wanachama hamna sauti tena ndani ya club
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unafaidikaje timu inapokuwa kwa viongozi wanachama?Tuanzie hapo?Kwa nini Simba?Si ana pesa akaanzishe timu yake?
Kuna siku yatatokea maafa pale uwanjani,kwa sababu MO hawezi kukataa B5 ili simba ifungwe na yanga bao 6,itakuaje na time tumempa bure?
Serikali iingilie kati suala hili no bora awe Rais wa timu atumue nembo tu
Sio rahisi kihivyo, anzisha shughuli nyingine za kukuingizia kipato mkuuUkweli ni kwamba Simba haipati chochote kwenye haya mauziano. Mo atatoa bilioni 20 ambazo zitaingizwa kwenye akaunti ya Simba kisha atakabidhiwa timu. Baada ya hapo yeye ndiye atakuwa na maamuzi ya mwisho kuhusu kila kitu ikiwa ni pamoja na matumizi ya hizo fedha. Atakuwa na hiari ya kubadili jina la timu au kuiuza na hakuna atakekuwa na mamlaka ya kuhoji. 'RIP' Simba Sc.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi nimeona kuna chakula na vinywaji hapo ngoja nijisogeze mdogo mdogo.
-Ndumilakuwili-
Tunachotaka ni maendeleo tu mbona nyie mlitaka kumpa manjiSijawahi kumwona mhindi akiendesha biashara yake Kwa hasara..... Simba ndo baibai... Nilikuwa nashangaa sana huu usajili hela inatoka wp? Ndo basi tena....Wanachama hamna sauti tena ndani ya club
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja mo apewe team tuWana simba watafanya kosa kubwa kutokumoa MO club , hawa wanaojiita wazee wa simba na wanachama hawajui usajili unafanyika kwa pesa za nani, hawajui makocha na wachezaji wanalipwaje wao kutwa nzima ni kuleta fujo na vurugu pale timu inapofanya vibaya. Nilimsikia mzee Fulani cjui kolomoni anaongea utumbo tu. Wale ni wazee wasio na kazi kutwa nzima ukienda pale msimbazi au jangwani Asubuhi unawakuta wanazozana hawataki kifanya kazi. Acha Mo apewe timu nchi ipige hatua. Hata sana wanga waanze kufikiria kumpa Manji timu akimaliza matatizo yake. Wanachama uchwara wamepitwa na wakati
Sent using Jamii Forums mobile app