unayemuona wewe nikiongozi mzuri na yupo kwa maslah ya wtz ni nani mana kuna mwaka mlituambia tumchague slaa ss hivi hafai kisha mwaka mwingine mkatuletea lowasa sasa hafai kwa hiyo nyinyi akiwa kwenu ni mzuri akitoka kwenu hafaiLipumba ni mtu mbaya sana kwa siasa za upinzani nchi
unayemuona wewe nikiongozi mzuri na yupo kwa maslah ya wtz ni nani mana kuna mwaka mlituambia tumchague slaa ss hivi hafai kisha mwaka mwingine mkatuletea lowasa sasa hafai kwa hiyo nyinyi akiwa kwenu ni mzuri akitoka kwenu hafai
hujajibu swali ila km cuf ni ccm b basi hata chadema ni ccm b kwani inakazi ya kuchukua mapandikizi wa ccm kisha ikawataka watu wa wachague mfano huo wa slaa na lowasa na hata uchaguzi huu yupo mtu wa ccm mtamsimamisha agombee wajinga ndio waliwaoCuf ilisha jifia kitambo na mjiite tu kuwa ni ccm b
hujajibu swali ila km cuf ni ccm b basi hata chadema ni ccm b kwani inakazi ya kuchukua mapandikizi wa ccm kisha ikawataka watu wa wachague mfano huo wa slaa na lowasa na hata uchaguzi huu yupo mtu wa ccm mtamsimamisha agombee wajinga ndio waliwao
nenda kaimbe mapambio huko huna hojaSina muda wa kuhangaika na ccm b
CDM nayo ilijimaliza yenyewe kwa kumkumbatia fisadi Lowasa.Cuf ilisha jimaliza yenyewe kwa kukubali kumrudisha kundini Lipumba
CDM nayo ilijimaliza yenyewe kwa kumkumbatia fisadi Lowasa.
Mbona hata nyie chadema mnatumiwa na ccm SanaKama kuna wasaliti wa taifa namba moja basi ni nyie, mtatumiwa na ccm mpk lini??
Huwezi kuifananisha chadema na cuf kwasababu chadema ni wafuasi wa bwana ndio, cuf ni wafuasi wa kuhoji kwanza,Wewe kichaa kweli kweli, unataka kuilinganisha cdm na hayo masalia ya ccm cuf?
Labda unamaanisha CAF..Huwezi kuifananisha chadema na cuf kwasababu chadema ni wafuasi wa bwana ndio, cuf ni wafuasi wa kuhoji kwanza,
Kwanza karibu sana jf maana naona umeingia leo na bus la AdventureHuwezi kuifananisha chadema na cuf kwasababu chadema ni wafuasi wa bwana ndio, cuf ni wafuasi wa kuhoji kwanza,
Umeonaeeeee? Kashakula chake tayari sasa anajiachia na msaidizi wake kule kariuaLipumba sasa anakwenda kuizika CUF rasmi.
Mwaka Huu mtanyooka tuuHuwezi kuifananisha chadema na cuf kwasababu chadema ni wafuasi wa bwana ndio, cuf ni wafuasi wa kuhoji kwanza,