KakaririshwaWaziri kasemaView attachment 799366
Yanga ilitumika kuendesha harakati za uhuru,wazee wengi walikua yanga na ndio wenye harakati zao,simba ilikua timu ya wahindi na waarabu,kazi yao kubwa ni kuuza mitumba,hawakuwa na time na harakati za uhuruKakaririshwa