Mkutano na waandishi wa habari; Salamu za pongezi kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete

First thing first.

Wanawakilisha "sauti za vijana zaidi ya milioni 25" kivipi?

Wana card carrying members milioni 25?

Au ni kujivika kilemba cha ukoka tu?
 
So Mr. Paul Makonda umempongeza Mheshimiwa tena mbele ya Media then what is your Point??

Mtu mwenye akili timamu hawezi kusoma hayo maandisi ya huyo Paul Makonda. Ni vijana wapiga kelele wasiojua uzalendo wa nchi bali kutafuta vyeo kwa nguvu kwa mgongo wa UV-CCM. Who is Makonda by the way to listen to? Just to warn you young man Makonda be careful najua unalala Unalala ukiota kuwa DC or RC but in the Name of the Almighty GOD you should tread carefully na hizo kelele zako unweza kuangukia pua bwana dogo wewe! Unakumbuka yale ya Lowassa yalivyokutokea puani? Unatetea kitu usichokijua wewe. Zanzibar wamevunja katiba kwa kuwa na nchi yao ndani Ya JMW je hayo hamuyaoni mmebaki kung'ang'ania Serikali 2 je hamuyaoni hayo au mmeweka pamba masikioni?
 
Naona kwenye hiki chama cha Mapinduzi bado kuna ile dhana ya Zidumu Fikra za Mwenyekiti hata kama sio sahihi. Inamaana yeye ni nani kupingana na maoni ya wanananchi?? Je yuko juu ya Wananchi??
 
Huyu c ndo yule mwizi wa iPad kwanza amasharudisha mali za watu siku hizi namuona karibu sana na maria sarungi'dada tunza cimu yako na wewe unapenda kuiweka jujuju shauri yako itapitiwa umekaa na mwewe. Chezea chama cha majizi

Paul Makonda ni mwizi huko mjengoni sote tunajua so its a shame kusoma anayoyaandika. Ni aibu mzazi kuwa na kijana kama huyu!
 
Binafsi nampongeza Mh. Rais kwa kutimiza wajibu wake
kikatiba katika kulihutubia bunge.

Hotuba yake kwa upande fulani ilibalance masuala fulani
fulani,ila kwa kiwango kikubwa iliegemea uchama na hivyo
kuibua maswali mengi ambayo majibu yake ni magumu.

Sawa tunaweza kujitoa kuokoa jahazi,lakini ni vema pia
tukawa waangalifu kwa kila hatua ya katiba hasa katika matamko
ya kutetea pale ambako wakubwa zetu walijikwaa kwa bahati mbaya.
 

Msisahau kuwa nafasi ya Naibu katibu mkuu bara ndani ya CCM haina mtu kwa sasa. Aliyekua ameteuliwa kushika nafasi hiyo amepewa wajibu mwingine na sasa ni Naibu waziri wizara ya fedha. Mkumbuke pia huyo aliyekuwa ameshikilia nafasi hiyo alipata cheo hicho kwa kuweza kuchambua na kupasua bajeti ya upinzani akijitangaza kuwa yeye ni mchumi daraja la kwanza. Mheshimiwa akasema tunataka watu wa namna hiyo wa kuweza kujibu hoja za wapinzani kwa hoja. Paul big up jitahidi mzee akuone atakupa cheo muda siyo mrefu kwani hupenda watu kama wewe.
 

Ni shida
 
Huyu c ndo yule mwizi wa iPad kwanza amasharudisha mali za watu siku hizi namuona karibu sana na maria sarungi'dada tunza cimu yako na wewe unapenda kuiweka jujuju shauri yako itapitiwa umekaa na mwewe. Chezea chama cha majizi
Acha kumsingizia Paul Makonda hakuiba iPad hats kidogo habari za uhakika in kuwa aliiba simu ya aina ya Nokia smartphone tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…