Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 itawasilishwa mezani.
Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali.
View: https://www.youtube.com/live/5UcmL0jgCUA?si=ohnhAFeUgozrobMo