Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kujadiliwa.

Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itawasilishwa mezani.

Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali.

View: https://www.youtube.com/live/-1q1nTVmOyU?si=xRVUBJheVqYqTczy
 

Attachments

Hamna mtu anayejitambua anafuatilia hilo bunge kibogoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…