Mkutano wa akili bandia (artificial intelligence) duniani mwaka 2022 wafunguliwa Shanghai

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo na ukomo".



 
Artificial Intelligence, naona China ni future ya huu ulimwengu unaokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…