Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwa mtazamo Wangu CCM wanahitaji kujitafakari pakubwa saaaana. Na kama Wana CCM hawataamka na kutetea Chama Cha Mambuzi, wataendelea kudharaulika.
Huwezi kuandaa mkutano wa mabilioni huku ukiacha mkutano huo utawaliwe na Vijembe, Mizaha na Rushwa. Je, mlienda Dodoma kusimangana?
Mnaanza kuchukua nafasi ya Mwenyezi MUNGU kuwa Samia hawezi kufa, au Kuna kitu mnataraji kukifanya Kwa Mwenyekiti wenu? Mnawaandaa Wana CCM kiakili?
Sawa, kama Mungu anadhihakiwa, tutaona
---