Mocumentary JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 806 Reaction score 2,049 Jan 27, 2025 #21 Chadema ya Sasa inaogopewa na watawala sio mchezo. Tokea Lisu achukue chama matamko kibao..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 27, 2025 #22 Inashangaza sana
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Jan 27, 2025 #23 Mnyika alikuwa anataka kufanya press conference ya kumtakia mama heri ya kuzaliwa🐼
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 8,457 Reaction score 3,033 Jan 27, 2025 #24 chiembe said: Mwenyekiti wa Chadema aliingia madarakani kwa ahadi ya siasa za mapambano, aje sasa, wazee wako malangoni mwake. Click to expand... Ujinga unakusumbua
chiembe said: Mwenyekiti wa Chadema aliingia madarakani kwa ahadi ya siasa za mapambano, aje sasa, wazee wako malangoni mwake. Click to expand... Ujinga unakusumbua