Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
za ccm ziko wapi ?Chama chakavu taarifa za mkutano kimkoa zina fika jf usiku wa manane.
USSR
Kama ni chama chakavu mbona kila uchaguzi CCM inaiba kura na kutumia vyombo vya Dola?.Chama chakavu taarifa za mkutano kimkoa zina fika jf usiku wa manane.
USSR
akijibu nistueKama ni chama chakavu mbona kila uchaguzi CCM inaiba kura na kutumia vyombo vya Dola?.
Muache ushamba nyie watanzania mnaonufaika na ujinga wa watu wachache.
Mfano watu wameiba pesa za umma, CCM imewafanya nini.
Wezi hao ni wanaCCM kama wewe.
"Don't like foolishness, just show it rarely". Somebody said.