Mama'e wamehutubia ng'ombeCHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza
CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi
Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma
Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847
Hicho ni kitoweo cha ubwabwa!Mama'e wamehutubia ng'ombe
bwana zao ccm hawajawasomba watu kwa malori? staili yao pendwaCHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza
CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi
Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma
Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847View attachment 3354854
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza
CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi
Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma
Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847View attachment 3354854
Wanataja tusile nyama tuSi naona ng'ombe hapo; Mbona mnawasema vibaya bila sababu?
HahahahahahaWalijiandaa na mabaunsa wa kuzuia nyomi la watu, wasifike meza kuu ya madalali kina Mrema na Kigaila. Siasa ni nusu ukichaa na nusu wehu.