PreGE2025 Mkutano wa CHAUMA wakosa watu Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naona ng'ombe wawili hapo wakishuhudia mkutano wa Chauma😂
 
CCM wenyewe mwanza wanapaheshimu wanakuja na wasanii Lakini lazima wakasombe watu sengerema na buchosa na magari ya king msukuma. Wanaopataga watu mwanza bila kutumia nguvu ni Chadema peke yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…