Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.
Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.
Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.
Unasema kweli? Kijenge kuna uwanja gani? Kwa nini haikupangwa NMC. Basi barabara ya Moshono haitapitika.
Kila la kheri!
Nitakuwepo!...lakini pia nitawahi sana kuwasili!Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.
Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.
Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.
Nitakuwepo!...lakini pia nitawahi sana kuwasili!
Mkuu Ngongo,
Kama uko kama hivyo unavyoonekana kwenye avetari, basi nitakujua kirahisi!
Respect!
Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.
Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.
Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.
si kosi...Mimi nitakuwepo, wewe je?
Kesho ndiyo...yaani tarehe 18-09-2010 saa nne asubuhi Mabauda sokoni na saa tisa Kijenge...You mean kesho ya tarehe 18 sept au?
Si ata JK yuko pande za uko?au nachanganya manake kuna thread inasema JK kuteta na Lowasa
Heshima kwako Njowepo,You mean kesho ya tarehe 18 sept au?
Si ata JK yuko pande za uko?au nachanganya manake kuna thread inasema JK kuteta na Lowasa
ndugu Ngongo hali ya ccm ni mbaya sana hivyo wanatumia njia yoyote kuvuruga mikutano lakini kwa umati niliouona CCM inangoka...siyo tamasha hilo tu hata pale Shikh Amria beid napo kuna tamasha sijaua ni la nini...Wakuu sijui ni hujuma au nini !.Kesho kuanzia saa tatu asubuhi kutakuwa na tamasha kubwa la nyimbo za Injili litafanyika kwenye viwanja vya shule ya Arushameru Sec.Najiuliza maswali kibao sipati majibu kwanini tamasha lifanyike muda sawa sawa au kukariabiana muda wa mkutano wa CHADEMA.Ni mtazamo tu.