ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio ukweli huo,mtakata moto mapema sanaEndeleeni kuteseka wafuasi wa kayafa.....leo tupo TUNDUMA kusini mwa Africa....
Kwa David Silinde na Juliana Shonza!Endeleeni kuteseka wafuasi wa kayafa.....leo tupo TUNDUMA kusini mwa Africa....
" Babu kubwa" duh kiswahili cha enzi za kuvaa bugaluu na RaizonUtateseka sana, kaza moto maana Jana ilikuwa Babu kubwa
Kweli ni msamiati wa kudumu." Babu kubwa" duh kiswahili cha enzi za kuvaa bugaluu na Raizon
cc: Mzee Mgaya popote ulipoπ
Wakate moto mara ngapi?Ndio ukweli huo,mtakata moto mapema sana
Soma tena comment yako!! Sijui ni laana inawatesa?Kweli ni msamiati wa kudumu.
Kwa time huru yanuchahuzi, hamtoboi
Bhageshage ee KolomijeNdio ukweli huo,mtakata moto mapema sana
Mbege haijamtoka kichwaniSoma tena comment yako!! Sijui ni laana inawatesa?
Na wewe punguza wivu mwendazake akinangwa.Hello ππ
Jana Chadema walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, Cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao.
Mbowe naye kama kawaida yake aliishia kumponda na kumtukana Mwendazake Kwa kile alichoita kwamba anatokea Mwendazake wazimu mmja anazuia furaha ya Watanzania na hivyo Mungu akafanya yake. ππ
Chadema punguzeni manung'uniko na makasiriko jengeni hoja naona watu wanawa-zoom tu.
Video hii hapa πDunia ya ss habari bila picha/video clip sawa na takataka tu
Mbona wewe ni mpumbavu mbobevu tuHamnaga hoja zaidi ya matusi ndio maana mnapigwa pini Kwa sababu ya maujinga yenu