Mchungaji na WoS mnatoka nje ya mada. Sasa mmenichanganya . . . Aisee, nilifikia wapi tena?
Mchungaji..SIDANGANYIKIII!! Ni siri yanguNimejiandisha na shahada yangu siuzi kabisa! Sasa wewe utampigia kura nani unaweza niPM .....kukushauri!
sasa nataka kuongea , nanyosha kidole mwenyekiti hunichagui
Samahani mwenyekiti....nimeshachangia agendaMchungaji na WoS mnatoka nje ya mada. Sasa mmenichanganya . . . Aisee, nilifikia wapi tena?
Mchungaji..SIDANGANYIKIII!! Ni siri yangu
Rev. Masanilo . . . . Aiseeee! Rudi kwenye mstari!
Weka hii Chungaji! Nataka mabadiliko ya Katiba, tuliyo nayo raisi ni kama Mungu Mtu! Madaraka iko mingi sana kwake na kwanini asishitakiwe hebu angalia EPA....
Napendekeza:
" AHADI ZA WAGOMBEA: NI KWA VIPI TUTAPIMA UTEKELEZAJI WAKE UKIZINGATIA TUNAPEWA AHADI MPYA KILA SIKU ILHALI ZA ZAMANI HATA HAZIKUMBUKWI?"
( Inanikumbusha wakati nachumbiwa...ahadi kibaooo! ukishaingia ndani...utakoma kuringa!)
WoS mbona zijaona huo mchango wako? Au wa "Kujiandikisha Kupiga Kura"?
Agenda Nyingine, ambayo ni muhimu sana, nikuvifanya vyombo vya Umma, kuwa vya Umma kweli, si mali ya CCM , KIMWENENDO NA KIMTAZAMO.hapa nikuiondoa sekta ya UMMA katika soko la biashara , maana wanapokea kodi zetu, haiwezekani wapigania soko moja na vyombo vya habari binafsi.pia Mkurugenzi wa TBC ateuliwe na Rais ila athibitishwe na chombo huru.
Which is which? "Mabadiliko ya Katiba"? au "Katiba Mpya"?
Nimekusoma lakini bado sijakupata WoS. Sasa hiyo agenda wataitekeleza vipi kama wataingia madarakani?
Inabidi kuwepo na utaratibu wa kuorodhesha ahadi zote kisha wagombea walioahidi waweke sahihi zao. Kisha tuje tuwabane watakapoingia madarakani! ( Breakthrough thinking lol!)
Thats correct!Nimekusoma sasa . . . ngoja niiboreshe pointi yako. Unachosema ni kuwa:
"Kuwepo na Chombo Huru Cha Ku-monitor ahadi zote na utekelezaji"? Is that correct?
Wasipotekeleza je?