Thats correct!
Wasipotekeleza ndio sababu ya kuwaambia wananchi wasiwachague tena.Utaratibu wa sasa usiokuwa na M& E ndio unafanya watu kudanganywa tu bila kuwa na point of reference. Mtu anakuja na khanga na t-shirt na ahadi mpya outrageous..anazingua watu na kujipatia kura kiulani.
Sawa nimekusoma. Sasa hili nalo ni vema likaingia katika katiba ili lisije likachakachuliwa kama la mgombea binafasi.
So mpaka sasa agenda ambayo wengi wameipendekeza ni ya "Kuunda Katiba Mpya"
Sawa.
Sasa tuendelee . . .
Ama mmechoka tumwambia binti Machozi atumbize kidogo bila kuchakachua caham chochote?
Nimesimama na mie ninaomba chama kitakochopata ridhaa ya wananchi kuongoza wiki ya kwanza kitoe adhabu kali kwa mafisadi waliohujumu nchi yetu bila kuangalia ana cheo gani wakati huu ili liwe fundisho kwa wote waliotafuta Urais, Ubunge na udiwani ili wawe mafisadi.haingii kichwani mwangu watu wanatumia mapesa mengi ili kutafuta uongozi ina maana kuna biashara gani huko. nikomee hapo kwa sasa ili nitoe nafasi na kwa wengine asante sana.
naona nikuite mwenyekiti, ni sawa kabisa, nina uchungu sana na hawa mafisadi,la sivyo nitajichukulia hatua mkononi ya kuwachoma bisibisi za kichwani kama hawataadhibiwanimekupata. Kwa hiyo unachosema ni kuwa:
"kuundwe mahakama maalumu ya kushughulikia kesi za mafisadi na wahujumu uchumi"
ni sawa jungu mawe? Au iweke vizuri zaidi.
Jamaa kapotea na bahasha zetu za khaki!!!!!tunataka mgawo wetu haiwezekani.mkutano umeisha au bado
Kwa kweli rasilimali na uchumi wetu ni muhimu mkuu. Mi naona mgombea ambaye anaweza kushughulikia hayo mambo amepata vote yangu. Alafu lazima wale wafisadi waliotunyima chance ya kufaidika kutokana na hizo mambo wakamatwe so that nchi iendelee kwa kweli.